" KAMISHNA AKEMEA WANANCHI WASIO WAAMINIFU.

KAMISHNA AKEMEA WANANCHI WASIO WAAMINIFU.

Na Mwandishi wetu, Misalaba Media 

Kamishna wa ardhi Mkoa wa Mwanza Wilson Paul Luge ametoa wito kwa Wakazi wa Mkoa wa Mwanza Kutoa taarifa za kweli kwa Maafisa Ardhi wanapokuwa wakitekeleza Majukumu Yao ili kurahishisha na Kuepusha Migogoro ambayo Imekuwa Ikijitokeza Mkoani humo.

Akizungumza na Vyombo vya Habar Leo jijin Mwanza 30/7/2025 Amesema changamoto aliyoibaini katika Kutatua kero za Ardhi ni Baadhi ya wananchi wasiowaamini wanapotoa Taarifa za huongo ili kuweza kupimiwa Maeneo Yao wamekuwa wakitoa Taarifaza huongo.

Luge amewaomba wananchi wa Mkoa huo kuacha Mara Moja tabia ya Kuwa wadanganyifu

Post a Comment

Previous Post Next Post