CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🌾 KINAWATAKIA WAKULIMA NA WATANZANIA WOTE 🌾
MAADHIMISHO YENYE BARAKA YA SIKUKUU YA WAKULIMA – NANE NANE
🎓 UDAHILI UNAENDELEA!
Pata nafasi ya kusomea fani za madini na mafuta katika ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma, pamoja na Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses).
✅ Exploration and Mining Geology (Utafiti na Uchimbaji wa Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
💡 Wanafunzi wenye sifa ya kupata mkopo wa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) watapata fursa hiyo kwa mujibu wa taratibu na vigezo vya Serikali.
🌐 Omba Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Mawasiliano: +255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment