" CHUO CHA MADINI SHINYANGA KIMETOA POLE KWA KIFO CHA SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI

CHUO CHA MADINI SHINYANGA KIMETOA POLE KWA KIFO CHA SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI

 CHUO CHA MADINI SHINYANGA KIMETOA POLE KWA KIFO CHA SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI

Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Science Institute of Shinyanga - ESIS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai (1960–2025).

Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Watanzania wote kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.

(Methali 10:7 – Kumbukumbu ya mwenye haki hubarikiwa.)

Pumzika kwa Amani Mhe. Job Yustino Ndugai.

📞 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia:
📱 +255 765 434 604
📱 +255 687 434 617
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz

GUSA LINK HAPA CHINI👇


Post a Comment

Previous Post Next Post