Na Mwandishi wetu, Misalaba Media
Mejena wa Ewura kanda ya ziwa George Mhina ametoa pongezi kwa wananchi wa kanda ya ziwa Maghalibi waliojuika kushiriki Maonesho ya Nane Nane waliokuja kupata Elimu katika Banda la Ewura viwanja vya Nyamhongoro Mkoani Mwanza
Mhina Amesema mwitikio wa wananchi waliokuja kupata Elimu katika Banda Hilo Ni Mkubwa na amewataka wananchi waendelee kutembelea katika Office za Ewura zilizopo Mkoan Mwanza
Maonesho haya yalizinduliwa Tarehe1/8/2025 na ambapo Kilele Ni Leo, Maonesho haya yana kauli Mbiu Isemayo Chagua viongozi bora kwa Maendeleo Endelevu Kilimo Uvuvi na Mifugo.
Post a Comment