Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kitaifa wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wazalishaji wa Maudhui Mtandaoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Mkutano huo uliokutanisha Wazalishaji wa maudhui mtandaoni wakiwemo Bloggers, Youtubers na Wachoraji wa Katuni umefanyika leo Jumapili Agosti 3,2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam. Kauli mbiu ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni 'Kura yako Haki Yako, Jitokeze Kupiga Kura' - Picha na Kadama Malunde & Emmanuel Mbatilo

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kitaifa wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wazalishaji wa Maudhui Mtandaoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza wakati wa kuwasilisha mada katika mkutano wa Kitaifa wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wazalishaji wa Maudhui Mtandaoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Post a Comment