Na Lydia Lugakila, Misalaba Media
Missenyi
Mwenyekiti wa (UVCCM) mkoa wa Kagera, Farnga Buruhani amewaomba wanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) kuimarisha umoja na mshikamano wao ili waweze kukiletea Chama hicho ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Faris ametoa kauli hiyo Septemba 04 Septemba 2025 katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi katika jimbo la Missenyi, uliofanyika katika kata ya Bwanjai.
Amesisitiza kuwa kipindi hiki ni cha kuhubiri umoja na mshikamano na sio kipindi cha kutambiana, na kupeana maneno ya mipasho kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha ushindi wa chama cha Mapinduzi katika maeneo yao.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment