UNGANA NASI KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI WA DAMU – AIC KAMBARAGE
Watu wote tukutane kila siku kuanzia Jumanne hii
tarehe 27/01/2026 asubuhi hadi Ijumaa tarehe 28/01/2026 katika Viwanja vya
Kanisa la AICT Kambarage -Shinyanga ili
tuweze kushiriki kwa pamoja zoezi hili la Uchangiaji wa Damu.
Kuna sadaka gani nyingine utatoa zaidi ya Hii?
CHANGIA DAMU,
OKOA MAISHA
___________________
USIKU WA SHUKURANI 2026 - BARAKA TELE
Wewe je! Utakuwepo?
👌🏽Karibu
uungane nasi kumrudishia Mungu Sifa na Shukurani za Mioyo yetu kupitia Ibada
hii kubwa.
USIKU WA SHUKURANI (Season II) 2026 - ABUNDANT
BLESSINGS💪🏿
Kanda ya Ziwa yote na Mkoa Mzima wa Shinyanga
tutakutana sehemu moja tu…
Siku ya
Ijumaa, 30 January 2026
📍
AICT Kambarage Church-Shinyanga, Tanzania.
⏱️
1:00 Usiku - 12:00 Asubuhi
👏👏HAKUNA
KIINGILIO👏
Kwa yeyote anayehitaji tisheti au sweta za Usiku wa Shukurani, au anayependa kushiriki kama mdhamini:
📱 +255 685 788 063 – AICT Kambarage Choir
📍 Wauzaji – Shinyanga:
• Majengo & Mjini: Leonadia – +255 614 028 803
• Kambarage & Ndala: Abel – +255 628 495 081

Post a Comment