
“Mama yangu aliniambia nikatae kombe la AFCON. Rasmi nakataa kupokea kombe hilo na ninatumaini wachezaji wenzangu pia watafanya hivyo.”
“Tulikuwa na nafasi ya kushinda lakini hatukufanikiwa. Hiyo ndiyo soka wakati mwingine unashinda na wakati mwingine unapoteza.”
Senegal waliwashinda kwa haki na walistahili ushindi huo. Itakuwa si haki kuharibu furaha yao baada ya juhudi kubwa walioweka.”
“Ninaheshimu uamuzi wa CAF lakini rasmi nakataa kombe hilo. Sikushinda AFCON 2025. Hongera tena kwa Senegal.”
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment