" MAN CITY MABINGWA WA CARABAO CUP 2026

MAN CITY MABINGWA WA CARABAO CUP 2026

 

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa Kombe la Carabao Cup 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Arsenal, Machi 22,2026 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye dimba la Wembley Stadium.shujaa wa mchezo huo alikuwa nyota kinda Nico O’Reilly aliyefunga mabao yote mawili kipindi cha pili, akitumia makosa ya kipa wa Arsenal kabla ya kuongeza bao la pili kwa kichwa dakika chache baadaye. Ushindi huo unaifanya Manchester City kutwaa taji lao la 9 la michuano hiyo, huku ukiwa pia kombe la kwanza la ndani msimu huu kwa kikosi cha kocha Pep Guardiola.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA 
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post