" AJALI YA MSAFARA WA MKUU WA MKOA SHINYANGA WATANO WAJERUHIWA WAKIWEMO WAANDISHI WA HABARI

AJALI YA MSAFARA WA MKUU WA MKOA SHINYANGA WATANO WAJERUHIWA WAKIWEMO WAANDISHI WA HABARI


 Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. 

Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Bw. Frank Mshana, Johnson Zacharia na Boazi.

Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga. 

Taarifa zaidi zitawajia kadiri tutakavyo zipata.

CHANZO - ITV

Post a Comment

Previous Post Next Post