Madereva wa Bajaji Manispaa ya Shinyanga wamepewa elimu ya usalama barabarani kuhusu kuacha kubeba mizigo Kwa njia hatarishi ili kuepuka ajali barabarani.Elimu hiyo imetolewa na Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila ambapo amewaeleza madereva hao kuacha kubeba mizigo ya abiria wao katika sehemu zisizo ruhusiwa kuepuka ajali kwani mizingo hiyo inaweza kufunguka na kudondoka Kisha kusababisha madhara Kwa watumiaji wengine wa barabara Sajenti Ndimila amewataka madereva bajaji kutii Sheria ya usalama barabarani Kwa kuepuka vitendo hatarishi pia wawe mfano wa kuigwa Kwa kuwalinda watumiaji wengine wa barabara.SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment