" SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1

SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1




Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabao ya Simba SC yalifungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye, huku bao la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi.

Simba imeendeleza ubabe wake kwa kuichapa Pamba Jiji na kuendelea kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 61, nyuma ya vinara Young Africans S.C. (Yanga) wenye pointi 63.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post