" RAIS SAMIA AIFUMUA CCM ATANGAZA MABADILIKO, RC WA SHINYANGA SOPHIA MJEMA ATEULIWA KUWA KATIBU MWENEZI WA CCM

RAIS SAMIA AIFUMUA CCM ATANGAZA MABADILIKO, RC WA SHINYANGA SOPHIA MJEMA ATEULIWA KUWA KATIBU MWENEZI WA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.



Kikao hicho kimemteua Sophia Edward Mjema ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anakuwa katibu wa siasa na uenezi CCM taifa akichukua nafasi na Hamidu Shaka.

Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa

Daniel Chongolo - Katibu Mkuu

Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara

Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa

Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi

Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha

Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa 

Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
Picha Sophia Edward Mjema ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anakuwa katibu wa siasa na uenezi CCM taifa akichukua nafasi na Hamidu Shaka.

Post a Comment

Previous Post Next Post