Mbio za Bendera ya Upendo mwaka 2026 zinatarajiwa kuanza rasmi kuanzia tarehe 24 hadi 27 Machi 2026 ndani ya Jimbo la Uyole, jijini Mbeya.
Kupitia tangazo hilo Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki katika tukio hili lenye lengo la kuleta tabasamu kwa jamii, hasa kwa watu wasiojiweza.
Washiriki wanaweza kuchangia kwa kutoa mavazi, chakula pamoja na mahitaji mengine muhimu ili kuwasaidia wenye uhitaji.
Kaulimbiu ya mwaka huu ni:
“MOYO WA UPENDO, KASI YA USHINDI”
SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment